التالي

53. Kusema Uongo (2) - Sheikh Kadhim Abbas

0 المشاهدات· 17/07/22
Imam Hussain Foundation
Imam Hussain Foundation
مشتركين
0

Ni wajibu wa kila mwislamu kuuepuka na kuuchukia uongo. Ajiepushe na watu waongo. Allah anasema kuwa mashetani na waovu huwashukia watu waovu na kuwasikilizisha mambo, na wengi wao hawa ni waongo. Imam Ridha amesema: Siku moja alikuja mwanamume mmoja kwake Bwana wetu RAsuulullah saww akamwambia; Ewe Mjumbe wa Allah, nielimishe jambo ambalo litakusanya heri za dunia na akhera. Mtume akamwambia; Usiseme Uongo.

أظهر المزيد

 0 تعليقات sort   ترتيب حسب


التالي